Uzinduzi wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametoa wito kwa Viongozi wa Halmashauri za Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro kuweza kusimamia kikamilifu utekelezaji wa programu ya Malezi ,Makuzi na...

