WADAU SHINYANGA WAIPOKEA PJT -MMMAM WATAKA IPEWE KIPAUMBELE
WADAU zaidi ya 150 mkoani Shinyanga wamepokea program Jumuishi ya Taifa ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) huku wakielezwa sayansi ya makuzi inayoambatana katika nguzo tano za...
