• Call us: +255 755 446 540
  • Email: info@tecden.or.tz
Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)
SUPPORT US
  • Home
  • Who We Are
    • Overview
    • Constitution
    • Vision and Mission
    • Strategic Plans
    • Our Partners
    • Our Team
  • Our Work
  • Members
  • News & Resources
    • News and Events
    • Conferences
    • Reports and Publications
    • success stories
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Contact Us

MKUTANO WA WADAU WA WATOTO MKOA WA PWANI

  /   News and Resources   /   MKUTANO WA WADAU WA WATOTO MKOA WA PWANI
Jun 16, 2022
MKUTANO WA WADAU WA WATOTO MKOA WA PWANI
16Jun

ZAIDI ya wadau 95 wameshiriki mkutano wa wadau wa watoto ulioratibiwa na Taasisi ya Anjita Child Development Foundation na Sehemu ya Mipango na Uratibu mkoa wa Pwani.

Mkutano huo umewakutanisha wadau wote wanaofanya kazi na watoto ambapo lengo kuu ni ushiriki wao katika uzinduzi wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Wadau walioshiriki katika mkutano huo ni pamoja na NGOs, benki CRDB, NMB, NBC na baadhi ya wafanyabiashara.

TECDEN inashirikiana na Asasi mbalimbali na Serikali katika Mikoa yote 26 Tanzania Bara kuratibu utekelezaji wa  Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) 202½2-2025/26. Mkoa wa Pwani TECDEN inashirikiana na Asasi ya Anjita  Development Foundation. 

https://www.instagram.com/p/CwpP0Q1tPmt/?utm_source=ig_web_copy_link

Categories

  • News and Events41
  • Conferences4
  • Reports and Publications11
  • success stories 2

Other Posts

  • Sep 06, 25 Call for Consultancy on Assessment of ECD Public Expenditure Review in the Implementation of NM-ECDP I (2021/2022-2025/2026)
  • Aug 25, 25 CALL FOR APPLICATION FOR   CIVIL SOCIETY ORGANIZATIONS TO SUPPORT THE ESTABLISHEMENT OF COMMUNITY ECD CENTRES ACROSS 15 REGIONS OF TANZANIA MAINLAND
  • Jul 23, 25 Tanzania Early Childhood Development Network’s (TECDEN) participation in the Kenya’s 6th National ECD Stakeholders’ Conference. 
  • Jul 21, 25 Tanzania Vision 2050: Placing Early Childhood Development at the Heart of National Transformation
  • Jun 17, 25 COMMEMORATION OF THE DAY OF THE AFICAN CHIL (DAC) 2025

Facebook

Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)

Our Address

  • Area D-Mlimwa East Plot Number 30 Block K, Dodoma,
  • info@tecden.or.tz
  • +255 755 446 540
  • +255 755 446 540

Quick Links

  • Who We Are
  • What We Do
  • Our Team
  • Our Members
  • Our Partners
  • News & Events
  • Publications
  • Photo Gallery
  • Video Gallery
  • Contact Us
  • Our Locations
  • Privacy Policy

Follow Us

+255 755 446 540

By subscribing to our mailing list you will get the latest news from us.

REQUEST WITH ONLINE FORM

Whats New

  • Call for Consultancy on Assessment of ECD Public Expenditure Review in the Implementation of NM-ECDP I (2021/2022-2025/2026)
  • CALL FOR APPLICATION FOR   CIVIL SOCIETY ORGANIZATIONS TO SUPPORT THE ESTABLISHEMENT OF COMMUNITY ECD CENTRES ACROSS 15 REGIONS OF TANZANIA MAINLAND
  • Tanzania Early Childhood Development Network’s (TECDEN) participation in the Kenya’s 6th National ECD Stakeholders’ Conference. 
  • Tanzania Vision 2050: Placing Early Childhood Development at the Heart of National Transformation
  • COMMEMORATION OF THE DAY OF THE AFICAN CHIL (DAC) 2025
Copyright © 2025 - Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)