• Call us: +255 755 446 540
  • Email: info@tecden.or.tz
Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)
SUPPORT US
  • Home
  • Who We Are
    • Overview
    • Constitution
    • Vision and Mission
    • Strategic Plans
    • Our Partners
    • Our Team
  • Our Work
  • Members
  • News & Resources
    • News and Events
    • Conferences
    • Reports and Publications
    • success stories
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Contact Us

WADAU SHINYANGA WAIPOKEA PJT -MMMAM WATAKA IPEWE KIPAUMBELE

  /   News and Resources   /   WADAU SHINYANGA WAIPOKEA PJT -MMMAM WATAKA IPEWE KIPAUMBELE
Sep 20, 2023
WADAU SHINYANGA WAIPOKEA PJT -MMMAM WATAKA IPEWE KIPAUMBELE
20Sep

WADAU zaidi ya 150  mkoani Shinyanga wamepokea program  Jumuishi  ya Taifa  ya Malezi,Makuzi na Maendeleo  ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) huku wakielezwa sayansi ya makuzi inayoambatana  katika nguzo tano za lishe toshelevu,ulinzi na usalama, ,Afya bora,Malezi yenye mwitikio na fursa za ujifunzaji wa awali.

Wadau hao  leo tarehe 20/09/2023 baada ya kushiriki  uzinduzi wa programu hiyo mkoani Shinyanga   wamepewa elimu juu ya Sayansi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kutoka kwa mtaalamu  Andrew  Nkunga kutoka taasisi ya Mtandao wa malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto nchini  (TECDEN).

https://www.shinyangapressclub.co.tz/2023/09/wadau-shinyanga-waipokea-pjt-mmmam.html

Categories

  • News and Events37
  • Conferences4
  • Reports and Publications11
  • success stories 2

Other Posts

  • Jun 17, 25 COMMEMORATION OF THE DAY OF THE AFICAN CHIL (DAC) 2025
  • May 27, 25 REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER 2024
  • May 09, 25 Regional ECD Forum to Strengthen Early Childhood Development Across East Africa
  • May 09, 25 Childcare Forum – Kigali 2025
  • May 06, 25 TANZANIA MALEZI SUMMIT (TMS) 2025

Facebook

Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)

Our Address

  • Area D-Mlimwa East Plot Number 30 Block K, Dodoma,
  • info@tecden.or.tz
  • +255 755 446 540
  • +255 755 446 540

Quick Links

  • Who We Are
  • What We Do
  • Our Team
  • Our Members
  • Our Partners
  • News & Events
  • Publications
  • Photo Gallery
  • Video Gallery
  • Contact Us
  • Our Locations
  • Privacy Policy

Follow Us

+255 755 446 540

By subscribing to our mailing list you will get the latest news from us.

REQUEST WITH ONLINE FORM

Whats New

  • COMMEMORATION OF THE DAY OF THE AFICAN CHIL (DAC) 2025
  • REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER 2024
  • Regional ECD Forum to Strengthen Early Childhood Development Across East Africa
  • Childcare Forum – Kigali 2025
  • TANZANIA MALEZI SUMMIT (TMS) 2025
Copyright © 2025 - Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN)